Jumatatu, 18 Agosti 2014

TRAFIKI APATA AJALI BAMAGA

Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa
anaendesha pikipiki ya polisi,ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni