Moja ya ndege ya Kenya Airways
Shirika la Ndege la Kenya Kenya Airways limesimamisha kwa muda safari za ndege zake za Liberia and Siera Leone kuanzia tarehe 19,Agosti 2014 utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya ya Kenya. Hali hii imefuatia kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola ( Ebola virus disease (EVD)).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni