Polisi Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini Ernest Mangu.
TAHADHARI KWA WATU WANAOHUDHURIA KILELE
CHA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI KATIKA UWANJA WA MWL JULIUS
NYERERE, NANE NANE MOROGORO.
KUNA KUNDI LA VIBAKA WAMEHAMIA KATIKA MAONYESHO HAYO
KWA KUIBA FEDHA KWA MITINDO YOTE IKIWEMO MCHEZO WA KARATA TATU, KUKWAPUA MIKOBA,
KUCHANA MABEGI NYEMBE NA KUCHUKUA FEDHA NDANI YA MIKOBA HASA ILE YA AKINA MAMA
NA WATU WANAONEKANA KAMA NI WASHAMBA MACHONI MWAO.
CHUKUE TAFADHALI KWA WATU WATAOENDA AMA WALIOPO NDANI
NA MAONYESHO HAYO AMA KUMJULISHA AU KUMPA TAARIFA NDUGU, RAFIKI
N:K.
MAENEO HATARI KATIKA MAONYESHO
HAYO NI YALE YENYE MKUSANYIKO WA WATU WENGI IKIWEMO ENEO LA MABEMBEA NA ENEO
LILILOTENGWA KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MAARUFU KAMA WAMACHINGA
JIRANI NA BANDA LA JKT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni