Jumatatu, 1 Septemba 2014

POLISI MJINI KAHAMA WAFYATUA RISASI KUJARIBU KUMUOKOA MTUHUMIWA WA UJAMBAZI ALIYEKUWA AKICHOMWA MOTO NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI

Maafisa wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika kwaajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu.Inasemekana watuhumiwa hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na kujeruhi kwa mapanga watoto wawili ussiku wa kuamkia leo.






Endelea kufatilia mtandao huu na muda si mrefu tutawaletea taarifa Kamili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni