Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuua kwa risasi mwananchi wa mtaa wa Kambarage na kumjeruhi mwingine
kijana Basil Ngole Anayedaiwa kuuawa na polisi juzi usiku majira ya Tatu Huko Kambarage Njombe
Kijana Fredy Ambaye Alijeruhiwa Akiwa Hospitali ya Mkoa wa Njombe Huko Kibena Asubuhi ya jana
Hali
ya Taharuki yaendelea Hadi Mchana Huu Mjini Njombe Kufuatia Maandamano
Makubwa ya Wananchi Baada ya Kile Kinachoelezwa Askari Polisi kumuua
Mwananchi Basil Ngole Mkazi wa Kambarage Mwenyeji wa Lugenge.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni