Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mjane wa baba wa Taifa , Mama Maria Nyerere
wakati alipotoa heshima za mwisho kwa mtoto wa Baba wa Taifa, marehemu
John Nyerere Kushoto ni Makongoro Nyerere na Kulia ni Mkuu wa Wilaya
ya Kinondoni, Makonda.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili
wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo
zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es
Salaam Mei 11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa
nyumbani kwao Butiama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni