Alhamisi, 6 Machi 2014

VURUGU ZABABISHA KUAHIRISHA KWA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA,




MWENYEKITI wa Muda wa Bumge maalum La Katiba Mh Pandu Kificho Amelazimika kuahirisha Semina ya Bunge Maalum ya kujadili Kanunu za Bunge Maalum la Katika Inayoendelea Mkoani Dodoma Kutokana na Vurugu zilizotokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka
Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake. 

 

Baadhi ya wabunge wa bunge maalumu la katiba walionekana kukerwa na hali ya Mwenyekiti wa Bunge hilo kumpendelea Mhe Sendeka. Sababu ya mabishano yaliyosababisha kikao kuahirishwa ni baadhi ya wajumbe kupinga Ole Sendeka kuchangia kila mara katika kanuni hizo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni