Jumapili, 27 Aprili 2014

PAPA FRANCIS AWATANGAZA WATAKATIFU WAPYA WAWILI

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican
Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.
Mapaparazi wakiwa kazini wakati wa zoezi hilo.
Papa Benedict XVI akisalimiana na Rais wa Italia, Giorgio Napolitano jijini Vatican.
Mapadre wakiwa wamebeba picha za watakatifu Papa John Paul II (kulia) na John XXIII (kushoto).
Papa Francis akiwasalimia waumini waliohudhuria ibada ya jana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni