Jumatano, 2 Julai 2014
KULA MACHUNGWA SI MPAKA UANDIKIWE NA DAKTARI
Msimu wa Machungwa umewadia Mjini Morogoro na ni kama inavyoonekana hapa chini
Wafanyabiasharwa wa machungwa katika soko la matunda la Mawenzi Manispaa ya Morogoro wakisubiri wateja wao kwa ajili ya kuwauzia ambapo chungwa moja huuzwa sh50 kwa bei ya jumla mkoani Morogoro.
Mfanyabiashara wa machungwa katika soko la matunda la Mawenzi akiweka machungwa hayo katika tenga wakati akifanya kazi ya kusomba na kuyaingiza sokoni kwa ajili ya kuwauzia wateja wake ambapo chungwa moja huuzwa kwa sh 50 kwa bei ya jumla mkoani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni