MARCOS ROJO RUHSA KUCHEZEA MAN U
BEKI mpya wa Manchester United Marcos Rojo aliyesajili kwa pauni milioni 16 kutoka Spoting Lisbon, hatimaye ampata hati ya kufanya kazi Uingereza na sasa yupo huru kuichezea timu hiyo.Kocha Louis van Gaal sasa anategemea kumtumua beki huyo kwenye mechi ijayo dhidi ya QPR Septemba 14.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni