Mwenyekiti wa chama cha soka mkoani Shinyanga (SHIREFA) Bwana Benester Lugora) akiwa kwenye gari la polisi baada ya
kuchaniwa suti yeke na mashabiki wenye hasira mkoani Mara baada ya kudaiwa
kutaka kuwahonga waamuzi wa mchezo kati ya Mwadui ya Shinyanga na Polisi Mara
katika mchezo wa ligi daraja la kwanza.
Kocha Julio akiokolewa kwa kupakiwa kwenye gari la polisi
ili asipigwe
Mashabiki wakimzonga mwamuzi
Wachezaji wa Mwadui wakitolewa na polisi baada ya kumalizika
mchezo kati yao na Polisi Mara uliomalizika kwa kufungana mabao 2-2 na kutokea
kwa vurugu za mashabiki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni